Michezo
Full Video: Haji Manara uso kwa uso na Antonio Nugaz
Msemaji wa klabu ya @yangasc Haji Manara alivyokutana uso kwa uso na aliyewahi kuwa Afisa Mhamasishaji wa timu hiyo Antonio Nugaz katika viwanja vya Karimjee Hall wakiaga mwili wa Hans Poppe.