Bongo Movie

Gabo aanza safari ya Kimataifa baada ya kufanya vizuri Kitaifa (Video)

Uongozi wa msanii wa filamu, Gabo Zigamba umedai tayari umefanikisha mpango wao wa kumfanya muigizaji huyo kufanya vizuri katika soko la filamu Tanzania. Akiongea na waandishi wa habari wiki hii, uongozi huo ulidai kwa sasa mpango wao ni kumpeleka muigizaji huyo katika anga za kimataifa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents