Burudani

Genevieve Nnaji kuja na ‘Road to Yesterday’ baada ya kuwa kimya kwa miaka miwili

Baada ya kuwa kimya kwa kipindi cha miaka miwili, muigizaji wa Nigeria, Genevieve Nnaji anatarajia kurudi tena kwenye filamu.

12145477_790315321079211_455722967_n

Staa huyo wa Nollywood anatarajia kuja na filamu ya kwanza aliyoitayarisha mwenyewe, ‘Road to Yesterday.’

Nnaji alisema huu ni muda muafaka kwa yeye kurejea tena lakini akihusika zaidi pia kwenye utayarishaji. Amesema filamu hiyo aliyoshirikiana kuiandaa na Africa Magic itazinduliwa November 18, 2015.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents