Michezo

George Weah achaguliwa kuwa seneta nchini Liberia

Mchezaji soka wa zamani wa nchini Liberia, George Weah amepata ushindi wa kishindo kwenye uchaguzi wa senate nchini humo.

20130625-wingard-0124-web

Weah – ambaye mwaka 1995 alikuwa mchezaji wa kwanza wa Afrika na wa mwisho kushinda tuzo ya Ballon d’Or kama mcheza soka wa Ulaya na aliyechezea timu za AC Milan, Paris Saint Germain na Monaco alimshinda mpinzani wake Robert Sirleaf, mtoto wa rais wan chi hiyo, Ellen Johnson Sirleaf.

Weah alipata asilimia 78 ya kura za kaunti ya Montserrado kwenye uchaguzi uliofanyika December 20 kuziba nusu ya viti vya senate.

Weah, aliwahi kugombea urais mwaka 2005 lakini alishindwa na Johnson Sirleaf.

Related Articles

One Comment

  1. After reading your post, you have a great website with interesting content. But I think you can improve your current google ranks by using SEO website traffic net. My friend uses it and it works great. Just google it, it’s very nice tool to bring you a lot of new readers on a daily basis. Keep up the quality work!

Leave a Reply

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents