Michezo

Hamilton ashinda taji la tatu la mashindano ya United States Grand Prix

Dereva wa magari, Lewis Hamilton ameendelea kufanya vizuri na kung’ara zaidi msimu huu baada ya kutwaa taji katika michuano ya United States Grand Prix.

2DC6EDF400000578-3289005-image-m-8_1445808123770

Hamilton ameshinda michuano hiyo ya dunia na kutwaa taji lake la tatu kwa msimu huu wa michuano ya Formula 1.

2DC6EC1500000578-0-image-a-34_1445813536042

Hamilton ambaye ni dereva wa timu ya Mercedes, anakua Muingereza wa pili baada ya Sir Jackie Stewart, kutwaa mataji matatu katika mbio hizo za magari.

2DC6F12E00000578-3289005-image-a-14_1445808310509

Dereva wa timu ya Ferrari, Sebastian Vettel, alimaliza katika nafasi ya tatu nyuma ya dereva Nico Rosberg dereva wa timu ya Mercedes.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents