Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariUmbea

Harmonize na Kajala sasa mambo hadharani

Baada ya watu kuwa na ukakasi juu ya kurejea kwa penzi la mastaa hawa wawili mmoja msanii wa muziki @harmonize_tz na mwingine msanii wa Bongo movie @kajalafrida

Leo kupitia akaunti zao za mitandao ya kijamii wameamua kuweka wazi juu ya penzi lao.

@harmonize_tz yeye amepost picha kadhaa ila @kajalafrida amepost video wakiwa gym.

Lini umeenda kwenye mazoezi na Mpenzi wako ?? šŸ¤Ŗ

Related Articles

Back to top button