Michezo

Hii ndio ‘First Eleven’ ya Gor Mahia itakayo waangamiza Everton

Hiki ndicho kikosi kamili cha Gor Mahia FC kinachotua nchini leo ili kuwavaa Everton July 13 kunako Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

Mpambano huo umezidi kuwa gumzo nchini huku wadau mbali mbali wasoka wakionyesha shauku yao ya kushuhudia timu inayoshiriki ligi kuu nchini Uingereza inavyo wakabili miamba ya Sportpesa Super Cup Gor Mahia ya Afrika Mashariki ikitokea nchini Kenya

Viingilio vya mchezo huo ni Sh 8000/= kwa VIP C na Sh 3000/= kwa viti vya mzunguko na mchezo unatarajiwa kuanza majira ya saa 11 jioni.

By Hamza fumo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents