Burudani

Hii ndiyo njia anayoitumia Barnaba kumaliza ugomvi anapokosana na mkewe

Barnaba Classic ni moja ya wasanii wa Bongo ambao hawapendi kuweka hadharani mambo yao ya kimahusiano.

Supermega Ya Kings Fm imepata bahati ya kufahamu njia ambayo anaitumia mmiliki huyo wa Studio ya High Table Sound kumaliza tofauti na mkewe, Mama Steve pale wanapokuwa wamekosana Kupitia

“Kuzungumza tu na mpenzi wangu,” amejibu kifupi kwenye Mahojiano na Prince Ramalove. Pia Barnaba amewashauri wanaume kuwapa zawadi wapenzi wao msimu huu wa Valentine’S kama njia ya kuonyesha upendo wao kwao.

By Prince Ramalove
Kings Fm

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents