Burudani

Huddah Monroe aipotezea fainali ya Big Brother ‘The Chase’, asema hatahudhuria

Aliyekuwa mshiriki wa Kenya katika msimu wa nane wa reality show ya Big Brother iliyopewa jina la ‘The Chase’ mwaka huu, Huddah Monroe amesema hatahudhuria katika fainali za shindano hilo zinazotarajiwa kufanyika weekend hii huko Afrika Kusini.

huddah3

Huddah ambaye alidumu kwenye shindano hilo kwa wiki moja tu na kutolewa, jana ametweet juu ya kutohudhuria kwake katika fainali hizo na kuwatakia heri washiriki wote.

Mashabiki wengi wa Huddah wameonesha kusikitishwa na maamuzi ya staa huyo wa Kenya na wengine wakijaribu kumuomba abadilishe mawazo, hizi ni baadhi ya tweets zao:

@Faith_Molapisi: its not good the FACT that you are not going to be at the finale @HUDDAHMONROE 🙁 WHY WHY”

@princessrukky: @HUDDAHMONROE . Please come I will like to see your face again in the BBA final”

“@SeeWaHaLa19: @HUDDAHMONROE We Want Huddah At The Finale, I Love You, I Want You To Be There, Please #bbathechase Please Please”

@SeeWaHaLa19: @HUDDAHMONROE I Have a Mission, Its To Stalk Huddah Until She cHanges Her Mind About Coming To The Finale, HuDDah,

Upande wa mwakilishi wa Tanzania Feza Kessy ameondoka nchini jana kuelekea Botswana kwaajili ya kuiendeleza ‘ONEZA’ kisha yeye na mpenzi wake Oneal wataondoka kwa pamoja kuelekea Afrika Kusini katika fainali hizo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents