Burudani

Idris Sultan kalamba dili jipya?

Huwenda mwaka 2018 ukawa mwaka wa mafanikio zaidi kwa muigizaji na mchekeshaji Idris Sultan.

Tokea mwishoni mwa mwka 2017, kijana huyo amekuwa akiposti picha zikimuonyesha amevaa nguo za ndani za kampuni ya Calvin Kevin zinazovaliwa na mastaa kadhaa akiwemo Trey Songz.

Kupitia mtando wa kijamii wa Instagram, Idris amepost picha nyingine na kuandika “I know it’s January but I’m just bad like that, no time to waste. Money monster #MyCalvins #CalvinKlein #PreShoot #2018” kutokana na posti hiyo huwenda Idris amepata shavu jipya katika kampuni hiyo huku akiwa mbioni kushoot filamu mpya ya   “The Blue Maurtius” ya nchini Marekani inayosimamiwa na kampuni ya D Street Pictures na Benoraya Pictures.

.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents