Habari

Jack Daniel walivyomwaga zawadi kwa wateja wa The Wingman Grill Dar (Video)

Usiku wa Jumatano hii ulikuwa mzuri kwa timu tatu ambazo ziliondoka na zawadi kupitia Quiz iliyoandaliwa na kampuni ya Jack Daniel ndani ya baa ya The Wingman Grill Mbezi Beach jijini Dar es salaam. Timu hizo tatu ni kati ya saba ambazo zilishiriki mashindano hayo .

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents