BurudaniPromotion

Jan B aachia ‘360 EP Album’

Rapper Jan B ameachia EP album yake aliyoipa jina, 360.

JaN B - 360 EP Album

“Wapenzi wa muziki wa kizazi kipya wanaweza kuinunua ”360 EP Album” yangu katika vituo vifuatavyo jijini Dar es Salaam na kwa kiasi cha T.SH 5,000 tuu. SamakiSamaki Mlimani city & Posta, Century Cinemax (Movie theater)-Mlimani City, Aziz Barber Shop zamani Prof Jizzle Barbershop-Msasani mwisho, Shebby barber shop-Lufungira Sinza, Billionnaires barber shop-Mikocheni kwa Nyerere, Lily’s boutique-Mwenge, Ofisi za Bongo5-Msasani, Pia wanaweza kunicheki kwa no yangu 0756169978 kuinunua kutoka kwangu. Asanteni sana kwa sapoti,2 amesema Jan B kwenye maelezo yake.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents