Burudani

Joh Makini aliamini kipaji changu nilipokuwa na miaka 14 – Nahreel

Joh Makini na Nahreel hawajafahamiana jana au juzi – kitambo.

761122d130c0d8ac30cf994bc2dc7576

Producer huyo amedai kuwa Joh alikikubali kipaji chake katika utengenezaji wa midundo tangu akiwa na umri wa miaka 14.

“Mtu wa kwanza aliyeniamini ni Joh Makini nilipokuwa na miaka 14. Alipokuja kusikia kazi zangu aliniambia kuwapa watu wanaostahili tu muziki wangu. Aliona kitu ndani yangu tangu mwanzo. Ni mwana familia,” Nahreel ameiambia Blog ya Coke Studio.

Hadi sasa ni Nahreel ndiye aliyetayarisha ngoma nyingi na zilizofanya vizuri na rapper huyo wa Weusi zikiwemo Don’t Bother aliyomshirikisha AKA na Nusu Nusu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents