Uncategorized

Kaka wa Uwoya atoa siri nzito : Ndoa ya Dogo Janja na Uwoya ni ‘fake’

Kaka wa Irene Uwoya aitwaye, Babuu amesema kwamba familia nzima ya Uwoya hakuna ambaye alimkubali Dogo Janja kuwa mume wa mtoto wao, na ndio maana hawakuweza kuhudhuria siku ya harusi.

Babuu aliendelea kuelezea kuwa kitu ambacho anatambua ni kwamba Dogo Janja alikuwa rafiki yake mkubwa, na pia alisoma na wadogo zake, lakini hajawahi kumkubali kama shemeji yake, na kwamba familia ilikuwa inamtambua Ndikumana peke yake.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents