HabariMichezo

Kamata Mkwanja Mrefu kwa Dau Dogo Meridianbet|ODDS kubwa |Kasino ya Mtandaoni

Unawaza ni wapi utajaza kibubu chako na kutimizamalengo yako? Usiwaze Meridianbet wakali wa Odds kubwana Kasino ya Mtandaoni wanakuonesha njia rahisi yakujishindia mkwanja mrefu, kama ambavyo wafalme hawawalivyojishindia mihela kwa dau dogo la kuanzia Tsh 250/= Piga *149*10#  Chagua Tukupe Odds kubwa za sokaunazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na RouletteChagua Tukupe.

Mshindi wa kwanza yeye aliweka mkeka mrefu wa takribaniwiki moja unaojumuisha timu 19 kwa dau la shilingi 1597 nakushinda Milioni 54, 50008 huku akipita karibu kila Ligi kubwaUlaya na kuchagua timu zake za uhakika.

Mshindi huyu yeye kwenye mkeka wake aliweka machaguomawili pekee, ambapo timu 18 aliweka ushindi wa kawaida, natimu moja pekee ndio aliweka chaguo la GG (Timu zotezifungane)

Ligi ya Ufaransa alibeti timu 8 ikiwemo Olmpique Marseille, Monaco, Rennes, PSG, Lille, na zingine, wakati kwa upande waLigi ya Italy Serie A aliruka na Wababe wa ligi hiyo Juventus, akapita na Roma ya Mourinho, AC Milan na Spezia. Ukiwa nameridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka yameridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino yamtandaoni.

Hakuishia hapo tu, alienda mpaka Uturuki ambapo kumetokeaTetemeko la Ardhi akachagua timu zake tatu, Besiktas, Trabzonspor, MKE Ankaragucu lakini timu hizo ziliahirishwakutokana na janga hilo lililotokea nchini humo.

Na mechi hizo alibeti kuanzia tarehe 7 ambapo alibeti mechi 3, tarehe 10 mechi 2, tarehe 12 mechi 4, tarehe 14 mechi 1, tarehe18 mechi 1, akamaliza na mechi za jana tarehe 19 mechi 6, najumla kukamilisha idadi ya mechi 19.

Haikushia hapo tu, jana hiyo hiyo akaibuka Bingwa mwingineambaye yeye alitimiza ndoto zake za kukusanya mkwanja mrefukabisa kwa 500 tu akapiga Milioni saba, laki moja elfu ishirinina moja na mia sita hamsini na sita (7, 121, 656).

Unajua mshindi huyu anatokea wapi? basi ni pale Ilala mtaa waKarume ambaye mshindi huyu yeye alienda kubeti katika dukamojawapo la Meridianbet MAX 80 na akachagua mechi 10 zenye jumla ya ODDS 15, 825. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoniya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

Mshindi huyu yeye hakutaka kusubri wiki kuwa Bingwa alibetimechi za jana pekee kwa kuchanganya machaguo kamainavyojulikana Meridianbet ndio kampuni inayotoa machaguozaidi ya 1000 sasa unataka uende wapi kama sio kubashiri naMeridianbet?

Ligi ya Uingereza aliweka mechi mbili ambapo ya kwanza ni yaManchester United dhidi ya Leicester City ambayo alimpaUnited ashinde, Spurs alimpa nafasi mbili ashindi au apate sarena mabao yaanzie moja mpaka mawili,

Ligi ya Italy aliweka mechi tatu, Ligi ya Hispania mechi mbili, Ujerumani moja Bulgaria moja na Uholanzi moja. Mechi hizopia aliweka machaguo ya magoli na kuzuia magoli, Mechi hizoni kama Atletico Madrid, Barcelona, AS Roma, Ajax, Slavia Sofia na mechi nyingine. Pata Odds za soka ukiwa naMeridianbet na kasino ya mtandaoni.

Huenda na wewe ikawa ni zamu yako kujikusanyia Mamilioniukiwa na Meridianbet ambapo kuna ligi mbalimbali leo hii lakini kesho na keshokutwa kuna Ligi ya Mabingwa Ulaya pale Napoli, huku Frankfurt, Madrid je Vipi naye Liverpool? Endeleakubashiri michezo mbalimbali pia kuna Kasino ya mtandaoni natembelea ucheze Aviator, Poker, Roulette, na mingineyo.

Usiwaze kama huna Intanenti beti kwa kitochi piga *149*10# Mahali popote, wakati wowote.

MERIDIANBET, CHAGUA TUKUPE.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents