Burudani

Kanye West na Kim Kardashian hawana mpango wa kumuita mtoto wa pili South wala East!

Kim Kardashian na Kanye West wanadaiwa kutokuwa na mpango wa kumuita mdogo wake North West jina la pande hizo za dunia.

kanye-kim-and-north

Kwa mujibu wa vyanzo vilivyoongea na mtandao wa TMZ, wanandoa hao hawatamuita mtoto wao wa pili majina ambayo watu wengi wamekuwa wakidhani kama South, East au Easton.

Sababu ya kufanya hivyo ni kwamba wanataka jina la mtoto wao wa pili liwe na nguvu. Wamedaiwa kufikiria jina ambalo linaweza kuwa na uhusiano na wazazi wa Kim Kanye waliofariki.

Kim anatarajiwa kujifungua mwezi December.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents