HabariMichezo

Kapombe, Chama ndani ya kikosi bora cha wiki CAF

Wakati Beki wa Simba, Shomari Kapombe akikosekana kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) baada ya kutangazwa jana na Kocha Adel Amrouche.

Shirikisho la Soka Barani Afrika CAF, limemtaja Beki huyo wa kulia, Kapombe kuwa miongoni mwa wachezaji ambao wanaunda Kikosi Bora cha wiki kwa Klabu zinazoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika.

@simbasctanzania limetoa wachezaji wawili kwenye kikosi hiko, mbali na Kapombe lakini pia yupo kiungo Clatous Chama mwamba wa Lusaka.

Imeandikwa na @fumo255

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents