Burudani

Khloe Kardashian asema hakumpiga chini boyfriend wake James Harden, bado ni wapenzi

Baada ya Khloe Kardashian kukanusha kuwa hajarudiana na Lamar Odom licha ya kusitisha kesi ya kudai talaka, mdogo huyo wa Kim K amesema kuwa hajaachana na boyfriend wake ambaye ni mchezaji wa NBA, James Hardens kama ilivyoripotiwa.

k n j

Akizungumza kwenye mahojiano na jarida la PEOPLE, alifafanua kwa kusema amekuwa muelewa sana katika kipindi hiki anachomuuguza mumewe Lamar, na amekuwa akimsupport pia.

“James has been very supportive and awesome, He’s been great with me.” Khole aliiambia PEOPLE.

Hata hivyo staa huyo wa KUWTK amesema kuwa endapo James atashindwa kuvumilia kutokana na jinsi mambo yalivyo sasa, basi yeye atamuelewa pia.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents