Kocha mpya wa United, Ralf Rangnick kung’oa mshambuliaji Chelsea

Kocha wa muda wa Manchester United, Ralf Rangnick anahitaji kufanya mazungo ya kuona uwezekano wa kumsajili mshambuliaji wa klabu ya Chelsea, Timo Werner msimu ujao kwa mujibu wa ripoti kutoka Ujerumani.

Mshambuliaji huyo alitua RB Leipzig akitokea Stuttgart ambapo Kocha huyo Rangnick ndiye aliyehusika kumsajili ndani ya timu hiyo ya Bundesliga kabla ya kutua Chelsea.

Inadaiwa kuwa Ralf Rangnick ana ukaribu mkubwa na kocha wa Chelsea, Thomas Tuchel ingawaje hiyo haiwezi kuwa sababu ya kumpata nyota huyo kirahisi pasipo dau nono ambalo litawavutia The Blues.

Related Articles

Back to top button