Burudani

Kylie Jenner akataa madai ya kumkopa rapper Tyga dola milion $2m.

Mwanamitindo Kylie Jenner ambaye alikuwa mpenzi wa rapper Tyga, amekanusha taarifa zilizoenea mitandaoni kuwa alimkopa Tyga kiasi cha dola milioni mbili ($2m) kama ilivyoripotiwa na mtandao wa Radar Online kuwa Tyga amekua katika wakati mgumu kifedha kutokana na kumkopesha aliekua mpenzi wake yaani Kylie Jenner zaidi ya dola milioni mbili.

kylie-jenner-tyga-fighting

Kylie kupitia account yake ya twitter alirepost taarifa juu ya tetesi hizo na kukanusha madai hayo

kylie-jenner-post-on-Tyga-moneyyyyy-01

“Lies, Lies, Lies.”.Aliandika mrembo Kylie kutoka kwenye familia ya Kardashian girls mahusiano yake na rapper Tyga yaliyodumu kwa miaka miwili yalifika mwisho on May 12 mwaka huu.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents