Burudani

Lady Gaga na Christian Carino wachumbiana kwa siri

Penzi kati ya  Lady Gaga na Christian Carino linazidi kupamba moto kwani wawili hao wanadaiwa kuveshana pete kwa siri.

Kwa mujibu wa mtandao wa Us Weekly, umeripoti kuwa Gaga na Carino wameveshana pete ya uchumba kwa siri kubwa katika majira ya baridi.

Mwaka uliopita Gaga aliachana na mpenzi wake wa muda mrefu aitwaye Taylor Kinney, siku chache kabla hajaachia albamu yake ya  ‘Joanne

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents