Habari

Serikali yasitisha utoaji wa leseni za machapisho

Taarifa ya serikali kwa umma kuhusu kukamilika kwa utaratibu wa utoaji wa leseni za machapisho baada ya muda huo kumalizika juzi(31,Octoba mwaka huu), hivyo basi kuanzia sasa serikali haitaruhusu tena kuendelea kutoa machapisha hayo hadi watakapo omba leseni.

Soma taarifa kamili:

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents