Burudani

Lamar kuanza kucheza nyimbo za The Refix kwenye show za Serengeti Fiesta

Producer Lamar ambaye anaendelea na project yake ya kuzirudia nyimbo za Bongo na kuzitengeneza katika mahadhi ya dance/electro “The Refix” ataanza kuzicheza nyimbo hizo kwenye show za Fiesta.

IMG_5068

“Kwasasa nitakuwa katika tour ya Serengeti Fiesta kuongeza nguvu nitakuwa na Dj Refix zile ngoma zote ambazo zimetoka kwa kuwarusha mashabiki wa Bongo Flava kuwapa ladha ya muziki wa temple iliyochangamka nitakuwa nikipiga ili watu waone kitu ninachokifanya,” Lamar ameiambia Bongo5.

“Itakuwa ni session ya dakika 10 kwahiyo mashabiki wategemee kupata burudani nyingine kutoka kwangu na kwa mkoa wa Kilimanjaro wamepata bahati maana ndo itakuwa mara ya kwanza.”

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents