Burudani
Ludacris na mke wake Eudoxie wapata mtoto wa kike
Rapper Ludacris na mke wake Eudoxie wamepata mtoto wao wa kwanza, wa kike.
Habari hizi njema zilitolewa na mama yake kwenye mtandao wa Instagram jana kwenye picha inayomuonesha mbwa wake na puto lililofungwa shingoni mwake na kuandika: “She is here, #blessed #grateful.”
Kwa mujibu wa E! News, jinna la mtoto huyo Cadence Gaëlle Bridges.