Burudani

Lupita Nyong’o amshukuru Jay Z kwa kumpa shavu kwenye ‘We Made It’

Ukirushwa na Jay Z kwenye ngoma yake na usishangilie kwa furaha, basi utakuwa na matatizo. Lupita Nyong’o ameamua kutoa neno la shukrani kwa Jay Z na Jay Electronica kupitia Twitter baada ya Hov kumtaja muigizaji huyo wa filamu ya 12 Years A Slave kwenye “We Made It (Freestyle).”

Lupita n Pharrel

Kwenye ngoma hiyo, Jay Z anasema: “I’m on my Lupita Nyong’o, stuntin’ on stage, after 12 Years A Slave, this Ace of Spades look like an Oscar, Black tux, look like a mobster.”

Kupitia Twitter Lupita ameandika:

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents