Burudani

Madee ampigia magoti Wolper, Lulu ahusishwa kwenye video ‘Sikila’ (Video)

Msanii wa muziki Madee amemuomba radhi Jacqueline Wolper baada ya kumhusisha kwenye video yake ya wimbo ‘Sikila’ bila makubaliano. Pia rais huyo wa Manzese amedai yule anayeonekana akicheza na Tekno ni Elizabeth Michael ‘Lulu’ ambaye anadaiwa kuwa karibu na muimbaji huyo mahiri kutoka Nigeria.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents