Burudani

Madee awaunga mkono waongozaji video wa nje

Madee amewafagilia waongozaji wa video wa nje.

13129196_1733247440249032_1835937384_n

Madee ambaye kwa sasa video yake ya ‘Migulu Pande’ inafanya vizuri kwenye TV na redio, ameiambia Times FM, kupitia kipindi cha The Playlist, “directors wa nje wana connection nzuri na TV za kimataifa.”

“Mimi naona sawa na mzuka watu kwenda kushoot video nje sababu inapanua wigo mpana wa msanii kuvuka kimataifa,” aliongeza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents