Habari

Madereva wa Tanzania “Tukifika mpakani mwa Rwanda tunafukuzwa na mawe wanatuita sisi Corona” – Video

“Dereva Mtanzania ukivuka tu kwenye mpaka na Rwanda 🇷🇼 hapo Rusumo, anaonekana ameathirika na Corona. ”Ukisimamisha gari umebanwa na haja ndogo askari wanatuongoza wanakuamrisha urudi kwenye gari.”
”Tunatembea na chupa za maji ilitujistiri humo”

https://www.instagram.com/p/CAXDGq8hu7t/

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents