Habari

Madereva wa Uber wafukuzwa kazi Marekani

Kampuni ya kutoa huduma ya taxi, Uber, ya nchini Marekani imewafukuza kazi wafanyakazi wake 20 baada ya kubainika kuwa na makosa ya unyanyasaji wa kijinsia.

Wafanyakazi hao ambao wengine walikuwa na nafasi kubwa wamefukuzwa baada ya kampuni hiyo kuingia katika kasfa inayohusu unyanyasaji wa kijinsia na kuhusu mfumo wake wa kibiashara.

Malalamiko mengi kutoka kampuni hiyo ya tax inadaiwa yametolewa na wafanyakazi katika ofisi zilizopo jijini San Francisco.
Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents