Michezo

Manara atema cheche ‘Sevilla hata mbele imuweke Messi imuazime na Ronaldo kwa Mkapa haitotoka pale ni kaburi /hiki ni kiporo tutakitafuna kama vilivyo vingine’ (+video)

Msemaji wa klabu ya Simba, Haji Manara ameishukuru kampuni ya kubashiri michezo ya SportPesa kwa kuleta timu kubwa kutoka La Liga, Sevilla FC na kujinasibu kuwa hata iwaongeze nyota hatari duniani Lionel Messi na Cristiano Ronaldo kwenye kikosi chao wakijumuisha na klabu za Real Madrid na Barcelona kamwe hawatatoka salama kwenye uwanja wa Taifa na kusisitiza kuwa dimba hilo ni kaburi kwa timu zote zinazotoka nje ya nchi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents