HabariMichezo

Max Nzengeli afanyiwa suprise kwenye Birthday yake

Winga wa Yanga SC Max Mpia Nzengeli Jana baada ya kutoka kwenye mechi alifanyiwa party na ndugu zake kwaajili ya kumpongeza winga Huyo Mkongomani kwa kuongeza mwaka mwingine katika maisha yake.

Dadake Max @janemlambo amemuandalia zawadi ya cake wakishirikiana na meneja wa mchezaji Huyo bwana mdogo @Kenny_Mchambuzii,Lakini winga Huyo alipewa zawadi ya viatu na brand meneja wake @mezih__ huyu ndiyo ana mvalisha mchezaji Huyo kwenye swala la muonekano wake.

Pia Max Nzengeli alikutana na shabiki wa Simba SC @dedekazano ambaye alizimia Siku ambayo wanafungwa Magoli 5-1 na Yanga na Magoli yaliyo mfanya kuzimia ni ya Max Nzengeli.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents