HabariMichezo

Mayele amshinda Moses Phiri mchezaji bora wa mwezi

Mshambuliaji wa Young Africans Sports, Fiston Mayele amechaguliwa na Kamati ya Tuzo za TFF kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Novemba, 2022 kwenye NBC Premier League baada ya kuwashinda Moses Phiri wa Simba SC na Ntibanzokiza wa Geita Gold alioingia nao tatu bora.

Mayele alifanikiwa kufunga wastani wa goli moja katika kila mechi tano alizocheza akiwa na Yanga SC.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents