Habari

Mbunge Msukuma Awasha Moto”Usipo kuja na Majibu Urafiki wetu Utaisha Leo”

Tazama Mbunge wa Geita Vijijini Mhe Joseph Msukuma alivyomwambia Waziri Mchengerwa “usipokuja na majibu urafiki wetu utaishia leo” ni kuhusu changamoto ya kituo cha afya Jimboni kwake

Video Nzima ipo katika Akaunti yetu ya youtube ya Bongo5

Written and edited by @abbrah255

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents