BurudaniLady Jay DeeMahojiano
MC Gara B atoboa siri juu ya Gadner (Video)
![](https://bongo5.com/wp-content/uploads/2024/04/Screen-Shot-2024-04-22-at-10.28.40.png)
Katika mazungumzo na Bongo5 tv @mcgarab amefunguka namna alivyoshirikiana na marehemu Gadner G Habash ambapo katika hilo ameweka wazi kwamba marehemu Gadner alikuwa akimsisitiza aende Clouds Media kwa ajili ya kutangaza halima ni huzuni kubwa
Endelea kuwa karibu nasi kwa updates zote juu ya msiba huu mzito
Video Nzima ipo katika Akaunti yetu ya youtube ya Bongo5
Written and edited by @abbrah255 & @yasiningitu
Imeandikwa na Mbanga B.