Met Gala: Beyonce na Kim Kardashian walivyovaa ‘nusu utupu’ mbele ya waume zao Jay Z na Kanye West (Picha)
Hafla maarufu ambayo hutawaliwa na fashion za hali ya juu kutoka kwa mastaa wa Marekani, Met Gala, imefanyika jijini New York, Jumatatu hii ambapo tiketi moja huuzwa dola 25,000.
Jay Z akiwa na mke wake Beyonce
Ni wake wa Jay Z na Kanye West pamoja na Rihanna ndio waliotia fora kwa mavazi yao ya aina yake.
The Carters wanaonesha mapenzi tele yamerejea baada ya mwaka jana kwenye party kuzuka ugomvi kati ya Jay Z na Solange
Beyonce na Kim Kardashian wakiwa na waume zao walipendeza kwa nguo sexy ambazo ziliwafanya waonekane kama nusu utupu!
Kanye West na Kim Kardashian
Huo unakuwa mwaka mmoja kwa Jay Z tangu aonekane kwenye camera katika lift akirushiwa makonde na shemeji yake Solange wakati wakitoka kwenye party hiyo hiyo.
Jionee zaidi picha zao!