Habari

Mgonjwa wa kwanza wa Corona apatikana Rwanda

Wizara ya Afya nchini Rwanda imethibitisha kuwepo kwa mgonjwa wa kwanza wa CoronaVirus nchini humo. Mgonjwa huyo ni raia wa India aliyefika nchini humo Machi 8. Siku ya jana Kenya nayo ilitangaza kumgundua mgonjwa wa kwanza hali ambayo ilizua taharuki zaidi kwa nchi za Afrika Mashariki kutokana na muingiliano wa watu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents