MichezoVideos

MO atangaza ‘Bonasi’ ya kibabe kwa wachezaji, atinga kambini kimya kimya (+Video)

Mdhamini wa miamba ya soka Afrika Mashariki na Kati Simba SC, Mo Dewji amesema kuwa amewaahidi bonasi nono wachezaji wa timu hiyo kama watafanikiwa kuifunga USGN siku ya Jumapili ya April 3, 2022 katika dimba la Benjamin Mkapa.

Mo ameyasema hayo baada ya kuitembelea kambi ya Simba leo siku ya Ijumaa.

Kuangalia video bofya HAPA

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents