Uncategorized

Mo Dewji: ‘Simba kutumia uwanja wake wa Bunju mwezi wa tano, tunataka kushindana na timu kubwa Afrika’ (+video)

Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini wa klabu ya Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’ amesema kuwa tayari washamalizana nwa TAKUKURU PAMOJA NA TRA kuhusu uwanja wao wa Bunju na kuahidi kuwa hadi ifikapo mwezi wa tano utakuwa tayari kwaajili ya matumizi huku akiongeza kuwa lengo la timu hiyo ni kushindana na miamba ya Afrika kama Al Ahly na TP Mazembe

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents