Uncategorized

Mo Dewji: ‘Bonus ya wachezaji wa Simba ni zaidi ya Bilioni 1, tunahitaji mafanikio zaidi kuliko pesa, itakuwa ngumu sana kuwatoa Kagere, Chama’ (+video)

Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini wa klabu ya Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’ amesema kuwa licha ya kujaza uwanja katika mechi zao lakini hutumia fedha nyingi kama motisha ambapo mwaka huu Simba itatoa bonus ya zaidi ya bilioni moja kwa wachezaji.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents