Burudani

Mpenzi wa Chris Brown, Karreuche Tran akiri kuwa anapigana vita kali na Rihanna

Mpenzi wa on/off wa star wa R&B Chris Brown, Karreuche Tran amezungumzia jinsi mahusiano yake na Breezy yalivyo na changamoto nyingi hasa kutokana na ex wake hit maker wa ‘Diamonds’ Rihanna.

kr

Jina la Karreuche limekuwa katika vichwa vingi vya habari miaka ya karibuni kutokana na kuingia kwenye maisha ya star huyo. Karrueche amesema muda mwingi hua anajihisi kama anashindana kwa namna nyingi na ex wa Breezy, Rihanna.

“Sikuwahi kudate na mtu maarufu so ni kitu kipya kwangu, mapaparazzi na mengine”, alisema Tran.

“Kwa hali hii boyfriend wangu ni mtu maarufu ambaye ex girlfriend wake naye ni maarufu zaidi, so sipigani vita na yeye peke yake, bali nashindana pia na mashabiki wake milioni 14 au zaidi.” Aliongeza.

“So, imagine how that feels for me when I gotta get on Twitter and I see a whole bunch of stuff…they make up all kinds of crazy stuff and it’s like they know nothing about me. But, you know, because they know nothing about me, because I stay so mute sometimes, that leaves open space for them to say whatever they want.” Alimaliza Tran.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents