Habari
Mr Ibu kabla ya kufariki alimshukuru Rudeboy wa P Square

Baada ya video ikimuonyesha Muigizaji wa Nollywood, John Okafor maarufu Mr Ibu akituma ujumbe wa kumshukuru msamii wa P Square Paul Okoye alimaarufu Rudeboy dakika chache kabla ya kufariki dunia kusambaa mitandaoni.
@iamkingrudy ameeleza alivyokuwa karibu naye wakati wote wa matibabu hospitalini “Nimekaa na wewe hospitalini kwa wiki kadhaa lakini bado ukaondoka, Mungu Kwanini??#MrIbu