Burudani
Msanii Karen mtoto wa Gadner afunguka ishu ya kuolewa na Petitman (Audio)
Msanii Karen ambaye ni mtoto wa mtangazaji Gardner amefunguka kuhusu kuolewa na Petitman ikiwa ni miezi kadhaa toka mwanaume huyo aachane na mama watoto wake Esma Platnumz.