Burudani

Msanii wa Nigeria Di’ja ni mama, atoboa siri alifunga ndoa mwaka jana

Di’ja amekuwa gumzo nchini Nigeria baada ya kutangaza si tu kuwa alifunga ndoa, bali pia amepata mtoto wa kiume. Hakuna aliyekuwa anajua mambo hayo.

12568283_219055695112627_1152754158_n

Aliamua kutangaza habari hiyo njema kwa kuweka video ya animation kuelezea hatua zote kuanzia alipochumbiwa, kufunga ndoa na kisha kupata mtoto.

“So Thankful to the Almighty for an amazing journey. Thank you to my family and amazing friends for your ongoing support. Thank you to my Mavin family who are forever providing me with guidance and last but not least my amazing fans for their undying love, well wishes and badASS encouragement. I could not be DI’JA without you,” ameandika kwenye Instagram.

Mume wake anaitwa Rotimi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents