Burudani

Exclusive Photos: Luca Neghesti na Nancy Sumari wafunga ndoa

Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Baada ya miaka mingi ya uhusiano thabiti na uliokuwa umetawaliwa na upendo usio kifani, Mwenyekiti Mtendaji wa Bongo5 Media Group Limited, Luca Neghesti na Miss Tanzania 2005 na Miss World Africa, Nancy Sumari wamefunga ndoa Ijumaa hii.
4K0A9044
Luca akimvalisha pete Nancy Sumari

Luca na Nancy ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Bongo5 wamebahatika kupata mtoto mmoja wa kike, Zuri.
4K0A9071
Luca akisaini cheti cha ndoa

Wawili hao wamefunga ndoa jijini Arusha na kuhudhuriwa na watu takriban 60 ambao wengi wao ni ndugu na marafiki zao wa karibu. Tunawapongeza kwa hatua hiyo kubwa kwenye maisha yao. Tazama picha zaidi hapo chini.

4K0A9105

Nancy akisaini cheti cha ndoa
Nancy akisaini cheti cha ndoa

Nancy akiwa na rafiki zake
Nancy akiwa na rafiki zake
Ndugu na jamaa akishuhudia tukio
Ndugu na jamaa wakishuhudia tukio

4K0A9051

4K0A9100

4K0A9105

4K0A9114

4K0A9128

Kiapo cha ndoa

IMG_9008

IMG_9013

IMG_9100

IMG_9151

IMG_9175

IMG_9181

IMG_9186

IMG_9199

IMG_9200

4K0A9081

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents