Burudani

Msechu arejea home

132

 

Mshindi wa pili wa Tusker Project Fame Peter Msechu aliporudi kutoka nchini Kenya  akipokelewa kishujaa na watu mbalimbali katika uwanja mwa Ndege wa Mwalimu Julius jiji Dar es Salaam jana.


Msechu alielezea jinsi ushindani ulivyokuwa mkubwa, na kwa namna alijifua kiasi cha kufikia nafasi ya pili katika shindano hilo la Tusker Project Fame.

Msechu anatarajia kuanza kurekodi album yake karibuni na kuingiza sokoni ili jamii ipate nafasi ya kushuhudia kipaji chake.

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents