Michezo

Mshambuliaji Dimitar Berbatov apata mapokezi makubwa Ugiriki

Mshambuliaji Dimitar Berbatov aliyewahi kuvichezea vilabu vya Tottenham Hotspur, Manchester United,Fulham na AS Monaco amejiunga na klabu ya PAOK ya Ugiriki.

2BF1719300000578-0-image-a-125_1441295231884

Dimitar Berbatov mwenye umri wa miaka 34 amejiunga na klabu hiyo kwa mkataba wa miaka miwili akitokea katika klabu ya AS Monaco. Anakuwa mchezaji aliyeingia katika usajili wa kihistoria wa klabu ya PAOK.

Berbatov

Mchezaji huyo alitambulishwa mbele ya mashabiki 10000 katika uwanja wa Toumba ambao ni wengi kuwahi kutokea nchini humo hasa katika utambulisho wa mchezaji.

2BF16D3600000578-0-image-a-127_1441295414401

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents