Habari
MUSIC AUDIO: Jay Minemba Ft. Dogo Mallo – KAOGE
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Jay Minemba ameachia audio ya wimbo wake mpya wa ‘Kaoge’ na anakukaribisha uusikilize kwa kubofya link hapa chini;
Kwenye ngoma hii, Jay Minemba amemshirikisha Dogo Mallo, Enjoy.