Burudani

Music: Hizi ni cover 2 za wimbo wa Adele ‘Hello’ zilizofanywa na wasanii wa Nigeria

Zimebaki siku 5 hit song ya muimbaji wa Uingereza, Adele itimize mwezi mmoja toka ulipotoka Oct. 23. Wanamuziki kutoka sehemu mbalimbali duniani wamejitokeza kufanya cover za wimbo huo.

adele-25-cover

Ukiacha kina Joe Thomas, Alaine, Demi Lovato na wengine ambao wamefanya cover ya ‘Hello’, wapo wasanii kutoka Afrika ambao wamefanya cover ya ‘Hello’.

Sikiliza na tazama cover version ya muimbaji wa RnB Praiz ambaye alishinda tuzo ya Afrima ‘Best African R&B/Soul Artiste’ pamoja na Omawumi wote kutoka Nigeria.

https://youtu.be/6ywKGOu3izU

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents