Mitindo

Na kofia za Beret je! Utatinga

Ulimwengu wa mitindo upo kwa ajili ya kukujuza na kupeana maujuzi kuhusu mitindo inayofanya poa. Karibu uifahamu Beret aina tofauti ya kofia.

Kofia aina ya Beret ni moja ya kofia zinazo-trend kwa sasa huku chimbuko lake likiwa ni kutoka kwa kuvaliwa na jeshi kama vile  polisi.

Beret uvaliwa kulingana na nguo yako pamoja na uendayo kama vile:- Party, Dating na kwenye matamasha ya kiburudani.

Kibongo Bongo zimevalia na wasanii wa muziki kama Vanessa, Jux, Lulu Diva, Jackline Wolper pamoja na watu mashuhuli kama vile aliyewahi kuwa Miss Tanzania na Miss World 2005, Nancy Sumari.


Uzuri wa kofia hizi anaweza kuvaa mwanamke au mwanaume, pia zimerudi kwa muonekana mpya na wakuvutia zaidi. Zipo za dukani na mtumbani… chagua ni lako.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents