Nachukia sana kuwa mjamzito – Kim Kardashian
Mke wa rapper Kanye West, Kim Kardashian ameandika kwenye website yake jinsi anavyochukia kuwa mjamzito, licha ya kuwa sasa ni mjamzito na anategemea kujifungua December 25.
Katika post hiyo, Kim K (34) aliandika kuwa anashangaa watu ambao huwa wana enjoy hali ya ujauzito akiwemo mama yake na dada yake Kourtney, kitu ambacho kwake ni tofauti.
“I’m gonna keep it real: For me, pregnancy is the worst experience of my life! LOL! I don’t enjoy one moment of it and I don’t understand people who enjoy it. My mom and Kourtney clearly did! More power to them but I just don’t relate,”
Aliongeza;
“Maybe it’s the swelling, the backaches or just the complete mindfuck of how your body expands and nothing fits. I just always feel like I’m not in my own skin. It’s hard to explain. I don’t feel sexy, either — I feel insecure and most of the time I just feel gross.”
“It is all SO worth it when you have your precious baby in the end! So for all my complaining, it’s 100 percent worth it and more!!!”